Napendwa sana kwanini???

Unahonga sana
 
Kwahiyo sisi ndio unao tugegeda unatuuliza? Si uwaulize hao unao wazini watakupa jibu ni kipi wanakupendea mpaka unawazini. Watoto wa 2000 mnashida sana nyie. Empty Set kabisa.
Katudharau Sana
[emoji34]
 
Kwahiyo sisi ndio unao tugegeda unatuuliza? Si uwaulize hao unao wazini watakupa jibu ni kipi wanakupendea mpaka unawazini. Watoto wa 2000 mnashida sana nyie. Empty Set kabisa.
Sikua na maana hiyo! Hapa ninaamini nitapata ushauri dats why
 
Kwahiyo sisi ndio unao tugegeda unatuuliza? Si uwaulize hao unao wazini watakupa jibu ni kipi wanakupendea mpaka unawazini. Watoto wa 2000 mnashida sana nyie. Empty Set kabisa.
Adjoint set[emoji3]
 
Bin-Adamu tuna matatizo sana. Kazana!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…