ager de don
JF-Expert Member
- Oct 6, 2017
- 621
- 320
Nawa maji usoni ili ujue kama bado una usingiz ama la...kama unao endelea kulala na kama huna piga mswaki kisha uende kwa kanisa ili mapepo yakutoke.Habari mabibi na mabwana! Bila kupoteza uhalisia wa topic yangu nikimbie moja kwa moja kwenye mada Kuna jambo linanishangaza sana,nimefanikiwa kuingia kwenye penzi kwa vipindi tofauti tofauti na wanawake tofauti tofauti. Iila cha kushangaza kila mwanamke ninaemdate ananipenda mno hadi nawaonea huruma.
Mwanzo nilijua kwa vile sio mzuri wa sura nikaamua kugeukia upande wa pili nikajipatia katoto kazuri kila mtaa wanamkimbia kwa uzuri alonao mashallaah! Sasa haka ndo kananipenda hadi nataman kukaacha ila roho inaniuma sitaki nikaumize. Sijajua wananipendea nini hawa totos. Nawasilisha
Habari mabibi na mabwana! Bila kupoteza uhalisia wa topic yangu nikimbie moja kwa moja kwenye mada Kuna jambo linanishangaza sana,nimefanikiwa kuingia kwenye penzi kwa vipindi tofauti tofauti na wanawake tofauti tofauti. Iila cha kushangaza kila mwanamke ninaemdate ananipenda mno hadi nawaonea huruma.
Mwanzo nilijua kwa vile sio mzuri wa sura nikaamua kugeukia upande wa pili nikajipatia katoto kazuri kila mtaa wanamkimbia kwa uzuri alonao mashallaah! Sasa haka ndo kananipenda hadi nataman kukaacha ila roho inaniuma sitaki nikaumize. Sijajua wananipendea nini hawa totos. Nawasilisha
Hahahaha asante kwa ushauri gentaSasa kama labda huwa unawapitia ' Uvunguni ' Kwao ' Kibaiolojia ' kwanini wasikupende Mkuu? Wewe endelea tu Kuwatagisha Mayai ili wawe wanasimuliana vizuri na wazidi ' Kumiminika ' Kwako. Mwaka wako huu Mkuu hivyo mambo yote ni mbele kwa mbele na kanyaga twende.
Haya mambo hayanaga mwamba bestMmh. Rafiki leo umeamua kujilipua. Lol.
Hongera sana kama ni kweli ila ndio na wewe uwe unapendeka sasa sio unapendwa huku wewe hupendi.
Hapana nipo kul sana labda ndo shidashida mleta mada unazunguka sana we ungeenda kwenye point kwamba labda una mguu wa tatu ndio wanawake wengi hupenda
Hahahaha asante kwa ushauri genta
Na kweli aisee best sababu sikutegemea mlipuko ka huu.Haya mambo hayanaga mwamba best