Napendakujua programming

Napendakujua programming

Abdclassic

Member
Joined
Jul 13, 2017
Posts
95
Reaction score
42
Wakali waprogramming naomba mnipe maujuzi sehemu au vitabu vyakusomea programming kwa urahisi na lugha rahisi ikiwezekana hata kiswahili kidogo
 
Kuna thread inaitwa "Vijana jifunzeni programming"
Itafute you'll get some ABC
 
Wakali waprogramming naomba mnipe maujuzi sehemu au vitabu vyakusomea programming kwa urahisi na lugha rahisi ikiwezekana hata kiswahili kidogo
Kwanza jiulize haya maswali...

Je unapenda kutengeneza websites?

Je unapenda kutengeneza softwares?

Nijibu tuendelee...
 
Website si mpaka ununue domain. ?
Ninablog unaviewers 10,000 kwasiku napia natakannijue vyote
Anyways... iko hivi...

Kama unataka kujifunza programming lazima uwe na GOAL, je unataka kufanya nini?? kutegeneza website au kutengeneza application kama za android au iphone...

Kama unataka kutengeneza websites then anza kwa kujinza HTML, CSS na javascript then unaweza endelea na php incase unataka kuwa back end web developer! all in all kama unataka kuwa web developer then anza na HTML then CSS alafu JS!!

Kama unataka kuwa software developer...

Unaweza chagua unataka ku develop applications za android, iphone au windows phone! au unataka ku develop applications za desktop...

Kwenye software development unaweza anza kusoma python alafu ukaenda java au ukaanza java one way!!

Pitia hizi vido mbili zitakusaidia zaidi...

Kila la heri...
 
Lodrick nimeanzisha blog yangu (yad9.blogspot.com) na nimeanza kujifunza HTML lakini naona kuna codes haikubali shida itakuwa nini.......
 
Haikubali kivipi mkuu wangu? ni ipi ambayo haikubali?? au inasumbua kueleweka?
 
Lodrick nimeanzisha blog yangu (yad9.blogspot.com) na nimeanza kujifunza HTML lakini naona kuna codes haikubali shida itakuwa nini.......
Kama unaona HTML inasumbua basi programming hutoweza, na programming hawasomisomi tu.
 
Back
Top Bottom