Napenda wanawake mabonge

Nathani kwao hakuna magodoro ya kulalia ndio maana anapenda wanene ili kuzuia ukavu wa chaga!
 
Nathani kwao hakuna magodoro ya kulalia ndio maana anapenda wanene ili kuzuia ukavu wa chaga!
 
Mbona hizi story kama za Zena na Bettina. Mnene ana raha gani? Flexibility is the key. Mwembamba ndio mpango mzima. Unabeba, unakunja, unageuza upendavyo.

Bonge ana nyama wewe unakula mpaka unachoka! Mikunjo au mibebo kitu gani Ndugu Yangu! Mambo mizamo Ndugu! Unawekelea sawasawa na mtu katulia tu! Si anauwezo wa kubeba mzigo! Lakini Hao wembamba ataanza kukusumbua uwanjani kila kona ya Kiwanja atafika!
 
Godoro, hobby zetu zinaendana....
napendaje manyama uzembe! Teh!

Hiyo ndio asili yetu waafrica! Hayo ya vimodo au visindano tuwaachie wenyewe! Mwanamke Tinginya bhana! Yani kufika ukomo wa safari inakua rahisi kinoma!
 

Kama uliacha na shule una matatizo wewe
 
User Name: godoro-la-comfy
User Title: Banned
Last Activity: 14th September 2013 13:16
 
Umeacha shule kisa kibonge afu unakuja kupost nini hapa, we msela una lako jambo wewe, kama umevuka form 4 ni bahati
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…