Napenda Simba ila Simba iki-draw au kushinda nipigwe ban JF

habari Wana JF,

Binafsi Mimi nipo tofauti kidogo na wenzangu ...kwani sipendi hiyo siku ya mechi ifike kwani naona taifa litakuwa kwenye aibu nzito pale ambapo kipindi Cha kwanza ubao utasomeka Al ahly 5- 0 Simba.

Kwa hasira na fedheha makolo wenzangu watakimbia uwanjani na watang'oa viti japo sijui itaisha vp
Ila Kwa hiki kikosi chetu naona tutapigwa kitu kizito

Kiapo changu
Mimi kama Labani og Laban of mchambuzi mahiri wa soka hapa JF. Naapa Kwamba Simba akishinda au kutoa droo nipigwe ban ya wiki on the spot kwanini nipigwe ban baadaya Simba kushinda... coz ntakua nmeshindwa kutumia profession yangu vizuri ya uchambuzi hivyo nipigwe ban as a way to take responsibility.

View attachment 2946545
Hii mechi hii Simba ana droo au kushinda
 
Uzuri ni kwamba huna chochote utakachofanya uwanjani, umeleta maneno tu tena ya kipumbav
 
habari Wana JF,

Binafsi Mimi nipo tofauti kidogo na wenzangu ...kwani sipendi hiyo siku ya mechi ifike kwani naona taifa litakuwa kwenye aibu nzito pale ambapo kipindi Cha kwanza ubao utasomeka Al ahly 5- 0 Simba.

Kwa hasira na fedheha makolo wenzangu watakimbia uwanjani na watang'oa viti japo sijui itaisha vp
Ila Kwa hiki kikosi chetu naona tutapigwa kitu kizito

Kiapo changu
Mimi kama Labani og Laban of mchambuzi mahiri wa soka hapa JF. Naapa Kwamba Simba akishinda au kutoa droo nipigwe ban ya wiki on the spot kwanini nipigwe ban baadaya Simba kushinda... coz ntakua nmeshindwa kutumia profession yangu vizuri ya uchambuzi hivyo nipigwe ban as a way to take responsibility.

View attachment 2946545
Uwe unapunguza utoto
 
Mods wameshakujua ww ni mwehu..hunaa kazi za kufanya..
Nilishatengeneza system....so naingiza pesa ndefu ....mkuu that's y sifanyi kazi sana .....

I'm not working for money .....but money is working for me
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom