Napenda Simba ila Simba iki-draw au kushinda nipigwe ban JF

Labani og

JF-Expert Member
Sep 15, 2020
15,822
24,291
habari Wana JF,

Binafsi Mimi nipo tofauti kidogo na wenzangu ...kwani sipendi hiyo siku ya mechi ifike kwani naona taifa litakuwa kwenye aibu nzito
pale ambapo kipindi Cha kwanza ubao utasomeka Al ahly 5- 0 Simba.

Kwa hasira na fedheha makolo wenzangu watakimbia uwanjani na watang'oa viti japo sijui itaisha vp
Ila Kwa hiki kikosi chetu naona tutapigwa kitu kizito


Kiapo changu
Mimi kama Labani og Laban of mchambuzi mahiri wa soka hapa JF. Naapa Kwamba Simba akishinda au kutoa droo nipigwe ban ya wiki on the spot kwanini nipigwe ban baadaya Simba kushinda... coz ntakua nmeshindwa kutumia profession yangu vizuri ya uchambuzi hivyo nipigwe ban as a way to take responsibility.

 
Wewe sio mchambuzi wa soka ila mchambuzi wa Mchele.
 
Dah..
 
Sawa mkuu tumekusoma na kukuelewa lakini kwanini ukate tamaa? nafikiri ungejaribu kuwashauri Simba nini cha kufanya badala ya kuwakatia tamaa.
 
Tayari ile degedege yako imerudi tena
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…