Napenda SERIES ila hii...

Napenda SERIES ila hii...

willzkichaa

JF-Expert Member
Joined
Feb 21, 2013
Posts
422
Reaction score
190
Habari za jumapili wana jf. Mimi ni mmoja kati ya wafuatiliaji wa series. Hasa nzuri na za kuvutia. Samahanini ila kuna huyu mshenzi anaitwa JERRY BRUCKHEIMER ameyengeneza serie inaitwa Hostages iliyoigiziwa huko marekani. Kiukweli im very disappointed. Serie ya kipumbavu na haina maana. Haiwezekani serie inaisha alafu hakuna muafaka wa matukio. Yaani mtazamaji huridhiki hata tone. Nasisitiza usijaribu kununua/kupakua huu uchafu. Mbona Davinchi demons, merlin, chaos, missing, merlin, originals, 24, once upon a time, atlantis na true blood zinaeleweka na zinaridhisha? Sijapendezwa na hii. What a waste!
 
Nashukuru kwa tahadhari, nlikuwa nnampango wa kuitafuta.
 
Mkuu ingawa sijaiangalia hii lakini issue ya series ipo hivi..

Mtunzi / Creators wanapeleka pilot kwenye TV stations ambapo wanapewa order/fungu la pesa labda watengeneze episodes kadhaa za kuweza kuonyeshwa mwaka mzima (season) sasa kwa mfano series ikipendwa sana watu wengi wakiangalia wanapewa order zaidi na zaidi (hapo ndio unakuta series nzuri mwanzo zinaanza kuboa au kukosa muelekeo sababu ya creators wanataka kutengeneza pesa as much as possible (mfano Lost na Heroes) au kwa mfano series ikianza kudorora wanaambiwa labda tunawapa extra season ya mwisho malizieni hii story (ndio hapo unakuta story inamalizwa haraka haraka bila kujibu baadhi ya maswali (mfano, Lost, Fringe n.k.)

Au mbaya kabisa series ambayo bila kuambiwa kabla ili wa-finalize series yao inakuwa cancelled either sababu ya following ndogo au sababu moja au nyingine (ndio hapo hata kama series ilikuwa nzuri inakwisha with a lot of unanswered questions)

Lakini kuna series ambazo zinaamua kumaliza story zenyewe bila kushurutishwa.., hapo ndio story inaisha vizuri bila kuvutwa sana mpaka ikaboa au kukatwa kabla ya mwisho wake, mfano 24, breaking bad, merlin, burn notice, n.k. hizo nyingine ulizotaja unaweza ukasema ni nzuri sasa hivi ila sababu bado zinaendelea hatujui..., huenda zikaboa baadae kama Lost na Heroes au huenda zikakatishwa kabla ya wakati wake
 
Nimekuelewa mkuu. Ila hii nlioisema hapa kama ni pilot ishapoteza mwelekeo. Na umetaja serie ya lost. Kiukweli ile haikuniboa ingawa kweli iliisha kwa mazingira ya kutatanisha. Ila kila episode ilikua imetungika. Matukio yalieleweka na kumfanya mtu apate dukuduku la kujua muendelezo.

Anyways hizi series zinachotakiwa ni kua na good first impression. Mtu akiangalia 3 episodes anakua na hamu ya kuendelea mfano chaos na suits au Merlin. Lazma utataka jua inakuaje kwa nwendelezo. Big up kwa hawa sam n dean (Winchesters) kwa kukimbiza hii serie yao now nshapotelea s04 na wako s09. Maelezo yako yamejitosheleza kaka. Ila zingatia hiyo warning hapo
 
Hio ni min series ...ambayo imeshindanishwa kwnye tunzo
mbili.

Hadi kuwekwa kwenye vipengele ujue ni series nzuri.

Yawezekana baada ya kuliona jina‘hostages‘
Ukajua ni magaidi kwa saaaana.

Mie nawashauri waicheck halaf ndo waamue kuliko kuwaamulia...

Kuna watu hapendi series ndefu.
Nadhan hii itakua ni nzuri kwao
 
Na kweli wasiamini cha kuambiwa

Ila mkuu umeona homeland ilivyoenda na ugaidi/utekaji ndani yake?

Na pia nimesema kinachokera ni kuacha mtazamaji hajaridhika na ana maswali mengi.

Kama yule black alivyouliwa bila kulipwa na alikua loyal. Was that right?

Duncan kwenda kujisalimisha ina maana sanders wataanikwa siri zao hadharani?

Police / fbi kutompata duncan ina maana akiamua kurudi anaweza na akaendelea na ujinga wake?

Duncan kugombana na mkewe mpaka akakimbiwa na bintiye amefanikisha nini hasa?
Maswali kama hayo ndo yanayonikera na pia tukumbuke maneno yetu sio sheria. Karibu kuni prove wrong kwa kwenda kuangalia.
 
Season 9 ya 24 waliyoipa jina la "Live another day" itakayokua na episode 12 itaanza kuruka hewani kuanzia 5th May, huenda ikajibu all the pending Questions.
 
What questions ?

Hio sana sana itabase story yake kwa Snowden yule jamaa aliyetoa siri za marekani; mtoto wa Jack sababu ya hasira fulani fulani ataamua kutoa siri
 
Mkuu ingawa sijaiangalia hii lakini issue ya series ipo hivi..

Mtunzi / Creators wanapeleka pilot kwenye TV stations ambapo wanapewa order/fungu la pesa labda watengeneze episodes kadhaa za kuweza kuonyeshwa mwaka mzima (season) sasa kwa mfano series ikipendwa sana watu wengi wakiangalia wanapewa order zaidi na zaidi (hapo ndio unakuta series nzuri mwanzo zinaanza kuboa au kukosa muelekeo sababu ya creators wanataka kutengeneza pesa as much as possible (mfano Lost na Heroes) au kwa mfano series ikianza kudorora wanaambiwa labda tunawapa extra season ya mwisho malizieni hii story (ndio hapo unakuta story inamalizwa haraka haraka bila kujibu baadhi ya maswali (mfano, Lost, Fringe n.k.)

Au mbaya kabisa series ambayo bila kuambiwa kabla ili wa-finalize series yao inakuwa cancelled either sababu ya following ndogo au sababu moja au nyingine (ndio hapo hata kama series ilikuwa nzuri inakwisha with a lot of unanswered questions)

Lakini kuna series ambazo zinaamua kumaliza story zenyewe bila kushurutishwa.., hapo ndio story inaisha vizuri bila kuvutwa sana mpaka ikaboa au kukatwa kabla ya mwisho wake, mfano 24, breaking bad, merlin, burn notice, n.k. hizo nyingine ulizotaja unaweza ukasema ni nzuri sasa hivi ila sababu bado zinaendelea hatujui..., huenda zikaboa baadae kama Lost na Heroes au huenda zikakatishwa kabla ya wakati wake

da mkuu hii ni kweli naangalia lost nmeiona nzuri na yakusisimua mpaka season ya nne lakini hizo mbili hasa ya sita zinaboa na zinanipa shida sana kuelewa nimeacha kuangalia episode ya tatu s6
 
nashukuru sana mkuu kwa taarifa maana ndo nilishapakua episode moja ila sikuingalia, leo ndo nimeiangalia imefikia wapi naambiwa imeishaia season nikataka niipakue hivyo hivyo labda nzuri lakini kwa maneno yako hapa, nafut hata ile e1
 
Ndio hivyo mkuu sometimes inabidi creators wawe wakali kama kwenye Prison Break; Breaking Bad au hata Merlin (yaani waamue wenyewe kwamba tunamaliza series baada ya episodes kadhaa.., mara nyingi series ikiwa kali sana creators wanaongeza ongeza vijistory ili iendelee na kuendelea mwisho wake wanapoteza muelekeo, au wengine labda wanapanga story iwe ndefu kiasi fulani lakini kutokuwa kwake popular wanajikuta inakuwa cancelled kabla story haijaisha au wanaambia season hii inabidi mmalize series (ndipo hapo unajikuta series inakatishwa bila kujibu maswali mengi au wanayajibu kwa wepesi wepesi)
 
nashukuru sana mkuu kwa taarifa maana ndo nilishapakua episode moja ila sikuingalia, leo ndo nimeiangalia imefikia wapi naambiwa imeishaia season nikataka niipakue hivyo hivyo labda nzuri lakini kwa maneno yako hapa, nafut hata ile e1

Kama na ww hujaridhika usijichoshe. Itakukasirisha mwishoni. And whatever happened to pretty actress. Maana sanders dah!
 
Kuna hii ya Revolution vp kwa yeyote aliyeangalia vp nzuri..... Sijaiona ila nmeisoma kwenye net tu........
 
Back
Top Bottom