Upo Wa
aminaTatizo wanawake huwa mmeshindwa kutafsiri uhalisia,ulefu au ufupi haulei au kumjari Mke.
Tabia njema ndiyo nguzo ya mume bora.
Wengi huwa mnaendelea kuzeeka bila kuolewa kwa kusubiri wanaume walefu,weupe ukishtuka una umri wa miaka 35 alafu hujampata mwanamume mlefu,mweupe.
Baada ya umri kupita mnaanza kujaza makanisa kwa wachungaji eti mnatafuta mume wa kuwaoa,wakati huo sasa wanaume wanakukimbia.Kwani mwanaume huwa anajiuliza miaka yote uliyonayo hadi karibu unazeeka hujaolewa lazima utakuwa na matatizo tu,kumbe wewe ulikuwa unatafuta mwanamume mlefu,maji ya kunde,ana mwili umejaa jaa kidogo,anasauti nzuri.Imeshakura kwako huwa mnaishia kuzalishwa tu kisha mnaendelea kulea watoto wasio na baba.
Siku moja utakua na ukweli utaujuaaaaNajikuta nachanganyiiwa nikikutana na wanaume weupe warefu
kwa baati mbaya sijawai tongozwa na wanaume hao
natongozwa na .......................... harafu sio ............................
😳😳😳😳kulia tuuuuuuu😳😳😳😳
mpo weupe humu kweli
wenye umbo kama hili,
mimi nina sifa na ntakupelek moshiNajikuta nachanganyiiwa nikikutana na wanaume weupe warefu
kwa baati mbaya sijawai tongozwa na wanaume hao
natongozwa na .......................... harafu sio ............................
😳😳😳😳kulia tuuuuuuu😳😳😳😳
mpo weupe humu kweli
wenye umbo kama hili,
kumbe wewe ni me.Asikudanganye mtu! Size na urefu wa mtu haudetermine kibamia! Niliwai kukutana na mkaka mmoja mbona nilikimbia mwenyewe!
Atamchubua sasa![emoji23][emoji23][emoji23]Mtengeneze wakwakooo
Nenda pm sasa chap chapndio jamaniiiiii
Muite pm sasa...wahiMimi ni mrefu saaaaana halafu ni mweupe dear!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji127] [emoji173]
Simiyu ipo mkoa gani?Karibu sana ni mrefu mweupe utakubari kuja kuishi simiyu?
[emoji4][emoji4][emoji4]Muite pm sasa...wahi