Hata sielewi
Mpaka mademu wananishangaa.
yaani nikianza mahusiano na mtu yeyote kabla hata hajanipa mbunye najiskia tu kumpa pesa tena pesa ndefu hata kabla ahajaniomba. Sijui hii hali ninayo mimi tu au kuna mwenzangu mwingine anayo
yaani hata hapa ninapoandika uzi huu kuna demu nataka nimhonge pesa nyingi tu.
hivi mimi nitakuwa mwanaume wa fungu gani?
A. fala
B. Jasiri
C. Domo zege
D. Mpenda mbunye
E. Mwenye huruma
F. ...................