shemahenga
Senior Member
- Jun 28, 2015
- 131
- 51
Nambie kama wwe ni mdau movie gani maskini sana nitainjoy kuicheki
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii ina season mkuu au ya papo kwa papoLOST(SERIES),UTAKUJA KINISHUKURU.![]()
![]()
HUMU NI UNYAMA,KALI KINOMA.
Kama sikosei ina season 6.Hii ina season mkuu au ya papo kwa papo
Na ndio zimepigwa marufuku sasaKama sikosei ina season 6.
Kama sikosei ina season 6.
ina season 6,ikiicheki ndiyo utajua HOLLYWOOD wanajua kuandika stori hautoamini inavyoishiaHii ina season mkuu au ya papo kwa papo
Ndiyo naicheki mkuu.ina season 6,ikiicheki ndiyo utajua HOLLYWOOD wanajua kuandika stori hautoamini inavyoishia
Kwanini?Na ndio zimepigwa marufuku sasa
BASI UMETISHANdiyo naicheki mkuu.