mrangi JF-Expert Member Joined Feb 19, 2014 Posts 96,508 Reaction score 138,389 Aug 16, 2018 #1 Picha nlipiga nkiwa juu ya milima usambara Kwa mbali unaiona ziwa mkomazi Huko jua ni la mgawo [emoji3] Ova
Picha nlipiga nkiwa juu ya milima usambara Kwa mbali unaiona ziwa mkomazi Huko jua ni la mgawo [emoji3] Ova
Mbao za Mawe JF-Expert Member Joined May 11, 2015 Posts 23,367 Reaction score 55,054 Aug 16, 2018 #2 Ukipewa Mil 5 unaweza kuruka hadi chini?
mrangi JF-Expert Member Joined Feb 19, 2014 Posts 96,508 Reaction score 138,389 Aug 16, 2018 Thread starter #3 Mbao za Mawe said: Ukipewa Mil 5 unaweza kuruka hadi chini? Click to expand... Hahaha hahaha labda nivae parashoot la mchongo Alafu huko juu kuna viwanda vya pombe ile chozi la simba Ova
Mbao za Mawe said: Ukipewa Mil 5 unaweza kuruka hadi chini? Click to expand... Hahaha hahaha labda nivae parashoot la mchongo Alafu huko juu kuna viwanda vya pombe ile chozi la simba Ova
Kadhi Mkuu 1 JF-Expert Member Joined Feb 4, 2015 Posts 23,198 Reaction score 29,606 Aug 16, 2018 #4 Mbao za Mawe said: Ukipewa Mil 5 unaweza kuruka hadi chini? Click to expand... Niliwahi kusoma humu JF kwamba haya ndo mawazo ya masikini.
Mbao za Mawe said: Ukipewa Mil 5 unaweza kuruka hadi chini? Click to expand... Niliwahi kusoma humu JF kwamba haya ndo mawazo ya masikini.
Mbao za Mawe JF-Expert Member Joined May 11, 2015 Posts 23,367 Reaction score 55,054 Aug 16, 2018 #5 Ok na wewe unaamini mtu anaweza kuruka kutoka kwenye kilele cha mlima hadi chini? Kadhi Mkuu 1 said: Niliwahi kusoma humu JF kwamba haya ndo mawazo ya masikini. Click to expand...
Ok na wewe unaamini mtu anaweza kuruka kutoka kwenye kilele cha mlima hadi chini? Kadhi Mkuu 1 said: Niliwahi kusoma humu JF kwamba haya ndo mawazo ya masikini. Click to expand...