Napenda mabadiliko....

Napenda mabadiliko....

Mbalamwezi1

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2013
Posts
2,073
Reaction score
2,026
Ni ukweli usiopingika kuwa tanzania kwa sasa ili tuendelee tunahitaji mabadiliko ya kimfumo,kuondoa mfumo wa sasa uliojaa rushwa,urasimu na ufisadi!mabadiliko haya yanaweza kuletwa na aliyepo ndani ya mfumo huu kama atakuwa na nia ya dhati na thabiti ya kutaka mabadiliko, au mabadiliko hayohayo yanaweza kuletwa na mtu ambaye ataingia ktk mfumo wa sasa kutokea nje kabisa!Hivyo basi yeyote kati ya wagombea wa urais anaweza kuleta mabadiliko kikubwa ni nia na dhamira ya dhati ya kutaka kuleta mageuzi ya kimfumo!Tuache ushabiki na mahaba niue kwa wagombea hawa tusikilize sera tuchambue tuone kama zinatekelezeka!Tuonane Oktoba 25.
 
Mahaba niteketezee

Hapa ni Lowasaa tu
 
Huwezi kusukuma gari lililokataa kuwaka ukiwa ndani ya gari husika...huhitaji degree ya Mechanics kujua hilo!
 
Ni ile ileeee, ooh ni ilee ileeee....
mabadilikoooo lowasaaaa, lowasaaaa mabadilikooooo
25 octobe, asubuhi
 
hakuna jipya hapo juu. Lowasa Raisi wa awamu ya tano.
Asanteeeee~!

Hilo Halipingiki! Watanzania tumeshaamua, kwa kauli moja!

Hakuna namna tena CCM lazima iondoke, kwa kuyanajisi maoni ya wananchi, na kuwatesa watanzania kwa miaka isiyopungua 50!

CCM walikuja kwa njia moja, sasa wanasambaratika kwa njia saba!!!!

Hureee Lowassa!!!

Nchi tumeshakukabidhi!
 
Lowassa hawezi kuwa Rais wa Tanzania, atabakia kuwa Rais wa Chadema, Monduli na makundi fulani yanayomhusu. Watanzania sio kikundi cha watu wanaonunuliwa ili wajaze mikutano tu au wanaopiga kelele kwenye majukwaa ya mitandaoni peke yake. Tanzania ni zaidi ya hao, itabaki chini ya uongozi wa watu imara waadilifu na sio simba wa makaratasi.
 
"CCM mkitaka #KURA yangu semeni ukweli nani anahusika na hizi tuhuma? na wahusika wamechukuliwa hatua gani?
-Katiba pendekezwa nani aliyaondoa maoni ya wananchi ambayo yalikuwepo kwenye rasimu ya Warioba?
-Mabehewa feki
-Kiwira
-Richmond
-Epa
-Escrow
-Epa
-Dowans
-IPTL
-NET GROUP SOLUTIONS
-Usafirishaji wa wanyama nje ya nchi mfano twiga alipandaje ndege?
-Biashara ya pembe za ndovu
-Biashara ya madawa ya kulevya
-Meremeta
-Mikataba ya gesi na mafuta
-Uuzwaji wa nyumba za serikali
Nahitaji majibu ya hayo maswali siyo porojo tuuuuu.Ccm Slaa anaimaliza, mtakuja kulaumiana kwa sababu ya Huyu SLAA.
 
Lowassa mkuki kwa wa uchungu kwa ccm! Kaja kuipasua katikati ccm! Mungu amejibu vilio vya watanzania kupitia Lowassa!
 
Huwezi kusukuma gari lililokataa kuwaka ukiwa ndani ya gari husika...huhitaji degree ya Mechanics kujua hilo!

Sindo mabadiliko hayo mnayataka, na EL kakubadilisha kweli....kwahyo hilo gari limesimama kwaakilizako Tz imesimama au hapa tunatafuta dereva mzuri sasa nyie dereva wenu anataka kuendesha gari huku yeye yupo nje sijui la remote hilo gari...
 
Sindo mabadiliko hayo mnayataka, na EL kakubadilisha kweli....kwahyo hilo gari limesimama kwaakilizako Tz imesimama au hapa tunatafuta dereva mzuri sasa nyie dereva wenu anataka kuendesha gari huku yeye yupo nje sijui la remote hilo gari...



SLOW LEARNER KATIKA UBORA WAKO

rudia tena uelewe alichomaanisha jamaa hapo juu
 
Back
Top Bottom