Auncle T
Member
- Aug 17, 2021
- 16
- 19
Nawasalimu kwa jina la JF.
Mimi ni kijana undergraduate chuo x
Kama Title inavyo jieleza. Nimejikuta ni mtu ambae NAPENDA sana kuwatongoza mabinti asa wanachuuo wenzangu na kitu cha kushangaza wengi hujikuta wakinaswa na timing Zangu.
Shida inaanza pale tu wanapoanza kuonesha dalili ya kukubaliana na mimi au kunipokea mmoja kwa mmoja najikuta siwi interested nao tena ata kuongea nao sitaki kabisa.
Ali hii immenifanya niwe single kwa mda mrefu mpaka sasa
pili nimejikuta nikichukiwa na mabinti wengi apa chuoni kila ninapokatiza ninanyooshwewa kidole 
Lengo la kujieleza ivi nipate mwanga wa kujikomboa na uraibu huu. KILA BINTI NINAE KUTANA NAE NAJIKUTA NIMMETIA VERSI
NB. Kama upo mwenzangu na mimi tushee experience.