NAPENDA KUPIGA KAZI PCCB,TAKUKURU

UNEMPLOYYED

Senior Member
Jan 29, 2017
116
47
habari,,wanajamvi wezangu,,,Mimi ni kijana niliehitimu kidato cha sita 2016 Ba kupata marks HISTORY=D,,GEOGRAPHY=C,,,,ENGLISH =C
Kwa anaejua cozi itakayo niwezesha kusomea masuala ya kupambana na kuzui rushwa anisaidie maana ni kazi ninayoipenda kwani nimejengeka kimaadili ipasavyo na siogopi kubwa haki itatendeka,,sioni hatari yeyote maana niko fit physically,mentally,
Naomba kuwasilisha serious issue
 
PCCB ni taasisi iliyojaa wafanyakazi wa kada tofauti kama elimu, Utawala, Rasilimali watu, sheria, IT ,n.k.
Nakushauri somea Elimu ,ukipata chance utapata semina nyingi sana in and out ingawa kwa kada ya elimu competition kubwa sana.
Simply ,nakupa siri kama umedhamiria kuingia huko na huna mzazi/mlezi usichukue degree sasa hivi kama una JKT certificate fanya mchakato utapata nafasi ya ulinzi mshahara mnono kimtindo then utasoma ukiwa job .Kama hujapita jkt kasome driving upate class C na upate cheti cha ufund magari daraja la pili uombe kama dereva then usome ukiajiriwa.
Utanikumbuka, ukifuata ushauri huu.
 
PCCB ni taasisi iliyojaa wafanyakazi wa kada tofauti kama elimu, Utawala, Rasilimali watu, elimu, IT ,n.k.
Nakushauri somea Elimu ,ukipata chance utapata semina nyingi sana in and out ingawa kwa kada ya elimu competition kubwa sana.
Simply ,nakupa siri kama umedhamiria kuingia huko na huna mzazi/mlezi usichukue degree sasa hivi kama unaweza JKT certificate fanya mchakato utapata nafasi ya ulinzi mshahara mnono kimtindo then utasoma ukiwa job .Kama hujapita jkt kasome driving upate class C na upate cheti cha ufund magari daraja la pili uombe kama dereva then usome ukiajiriwa.
Utanikumbuka, ukifuata ushauri huu.
Ushauri mzuri
 
PCCB ni taasisi iliyojaa wafanyakazi wa kada tofauti kama elimu, Utawala, Rasilimali watu, sheria, IT ,n.k.
Nakushauri somea Elimu ,ukipata chance utapata semina nyingi sana in and out ingawa kwa kada ya elimu competition kubwa sana.
Simply ,nakupa siri kama umedhamiria kuingia huko na huna mzazi/mlezi usichukue degree sasa hivi kama una JKT certificate fanya mchakato utapata nafasi ya ulinzi mshahara mnono kimtindo then utasoma ukiwa job .Kama hujapita jkt kasome driving upate class C na upate cheti cha ufund magari daraja la pili uombe kama dereva then usome ukiajiriwa.
Utanikumbuka, ukifuata ushauri huu.
Kama una diploma je?
 
Soma one of these courses
 
Attachments

  • PCCB_Vacancies_2017.pdf
    56.9 KB · Views: 168
PCCB ni taasisi iliyojaa wafanyakazi wa kada tofauti kama elimu, Utawala, Rasilimali watu, sheria, IT ,n.k.
Nakushauri somea Elimu ,ukipata chance utapata semina nyingi sana in and out ingawa kwa kada ya elimu competition kubwa sana.
Simply ,nakupa siri kama umedhamiria kuingia huko na huna mzazi/mlezi usichukue degree sasa hivi kama una JKT certificate fanya mchakato utapata nafasi ya ulinzi mshahara mnono kimtindo then utasoma ukiwa job .Kama hujapita jkt kasome driving upate class C na upate cheti cha ufund magari daraja la pili uombe kama dereva then usome ukiajiriwa.
Utanikumbuka, ukifuata ushauri huu.
Asante,ntafanyia kaz
Ushauri mzuri
 
Kama una diploma je?
Kama una diploma je?
Taasisi nyingi za kiserikali siku hizi huchukua wenye shahada ndo ambao huwa kama Assistant officer wa kitu fulani, ila zipo nafasi kwa diploma holder ingawa si nyingi sana. Kama una pass nzuri form six za kufaa kwenda University ni heri ufanye mpango wa ajira kuliko kwenda diploma, Diploma 2 yrs, ambapo utakapotaka kusomea shahada bado utadaiwa miaka ileile ambayo ungeitumia directly baada ya kumaliza six.
Ila kama mtu ana diploma ni chance pia ya kupata ajira maana kila ngazi inaonyesha ina merits zake.
 
Back
Top Bottom