Pascal Mayalla Platinum Member Joined Sep 22, 2008 Posts 59,674 Reaction score 134,381 Jul 8, 2020 #21 Administer said: Napenda kusema kile kilichoko moyoni mwangu. Nimetokea kuichukia CCM kwa sababu mbalimbali. Naiombea mabaya CCM kila kukicha najua Mwenyezi Mungu ipo siku atasikia kilio changu. Click to expand... Duh...!. Ni Mungu yupi huyo unaemuomba kuiombea mabaya CCM ife?. Mtu yoyote anayeombea mabaya yatokee kwa yoyote na kuombea afe, mtu huyo anaomba kwa shetani akidhani ni anaomba Mungu!. Kupata maendeleo ya kweli, Watanzania ni lazima tujifunze kuukubali ukweli!. Hili la CCM kutawala milele ni kweli!. P
Administer said: Napenda kusema kile kilichoko moyoni mwangu. Nimetokea kuichukia CCM kwa sababu mbalimbali. Naiombea mabaya CCM kila kukicha najua Mwenyezi Mungu ipo siku atasikia kilio changu. Click to expand... Duh...!. Ni Mungu yupi huyo unaemuomba kuiombea mabaya CCM ife?. Mtu yoyote anayeombea mabaya yatokee kwa yoyote na kuombea afe, mtu huyo anaomba kwa shetani akidhani ni anaomba Mungu!. Kupata maendeleo ya kweli, Watanzania ni lazima tujifunze kuukubali ukweli!. Hili la CCM kutawala milele ni kweli!. P
Muigai Jr JF-Expert Member Joined Jun 3, 2020 Posts 2,334 Reaction score 4,280 Jul 8, 2020 #22 Endelea kuota.