Administer
JF-Expert Member
- Feb 9, 2020
- 2,637
- 2,381
Utasubiri sana!
Mwaka huu ndo mwaka wa CCM kuachia dola. Upinzani unachoitaji ni mgombea wa kuhamasisha nguvu ya umma tu katika kulinda kura na matokeo ya kura.CCM itakuja kuanguka pale wakatapo vurugana wenyewe kwa wenyewe...... Ikitokea lakini
Ova
Chuki nao ni ugonjwa na chanzo cha maradhi mbalimbali.Napenda kusema kile kilichoko moyoni mwangu.
Nimetokea kuichukia CCM kwa sababu mbalimbali.
Naiombea mabaya CCM kila kukicha najua Mwenyezi Mungu ipo siku atasikia kilio changu.
Ninapona mtu yeyote anaidhoofisha CCM namuunga mkono hata kama yumo ndani ya CCM kwani anaongeza nguvu upinzani.
Tusiwaogope wanaohama au kufukuzwa CCM na kuingia upinzani kwa lengo la kuiangusha CCM.
Uchaguzi mkuu wa 2015 Lowasa aliwahenyesha CCM hadi leo wanamakovu.
Tumpokee Membe upinzani aongeze nguvu upinzani CCM ife hata kwa kuwatumia waliokuwa CCM au wasiokuwa
Usiombe CCM kuanguka kwa utaratibu unaoutaja, uiombee iwe chama cha upinzani ikibaki na nguvu ya kuweza kuchukua madaraka mbeleni, liombee taifa kusiwe na chama kimoja chenye nguvu, view angalau viwili au vitatu, maana ZIMWI LIKUJUALI.....Napenda kusema kile kilichoko moyoni mwangu.