honey bee
Senior Member
- Nov 23, 2021
- 139
- 236
Sorry wanajukwaa,
Ingelikuwa vyema kama ningelifahamu kwa undani zaidi kuhusu haya maswali yanayonitatiza.
Kama una experience na moja kati ya haya, naomba ushirikiano wako.
1. Maneno anayotamkiwa mwanamke wakati wa kumtongoza ndio yanayofanya yeye avutiwe nawe?
Make utasikia, ulimkosa kwa sababu hukuwa na swaag za kumwambia.
2. Vipi kuhusu wadada wanaokupenda wao wenyewe, hapo swaag zimetumika wapi?
3. Kwani mwanamke anaingia kwenye mahusiano akiwa na target tu ya kupata pesa? Kwani mahusiano wenyewe wanayachukulia vipi!! Na mbali na pesa, vitu gani vingine wana aim katika mahusiano
4. Na ni kwa muda gani ukae kwenye mahusiano na ndipo umwombe mwanamke kufanya nae mapenzi?
5. Unakuta unakuwa na urafiki na mtoto wa kike kwa muda hata wa mwezi mzima, mnazoeana sana, kichwani kwako unajenga picha ya mahusiano na yeye hata kwa kumuona tu na yeye unajua huwa anakutafakari muda mwingine, unamuomba kufanya naye mapenzi, halafu anakujibu, "hivi umenionaje, unanichukulia kama chombo cha starehe kweli?" Unakosa cha kujibu.
6. Napenda kuwa na mahusiano strong kama wenzangu, ila naona kama napoteza muda, make hawa watu wanataka muda, mwishowe nishindwe kufanya kazi zangu, wanatia stress sana, ingawaje rafiki zangu wana handle kivipi.
Naombeni summary ya vitu vya kufanya katika mahusiano, walau nijaribu ku summarize.
7. Na ni kwanini mabinti wakifika chuo wanajichukulia more expensive kiivi!
Naomba ushauri kwa moja ya situation yoyote unayoifahamu
Nawasilisha!