MAJ Member Joined Dec 4, 2017 Posts 11 Reaction score 3 Dec 30, 2017 #1 Iv jaman tungekua tunachukua maamuzi ya kuoa au kuolewa kutokana na namba za mwisho za simu zetu... Je wewe ungekuwa unaoa au kuolewa na umri gani kutokana na namba yako ya mwisho ya simu
Iv jaman tungekua tunachukua maamuzi ya kuoa au kuolewa kutokana na namba za mwisho za simu zetu... Je wewe ungekuwa unaoa au kuolewa na umri gani kutokana na namba yako ya mwisho ya simu
MwanawaMUNGU41 JF-Expert Member Joined Jun 15, 2015 Posts 1,052 Reaction score 749 Dec 30, 2017 #2 55 na 05,nyingine 11 na zingine coz nina line nyingi mkuu,ungetaja tu mtandao mmoja,coz siku hizi sidhani kama kuna mtu anatumia line moja!
55 na 05,nyingine 11 na zingine coz nina line nyingi mkuu,ungetaja tu mtandao mmoja,coz siku hizi sidhani kama kuna mtu anatumia line moja!
Jiwedogo JF-Expert Member Joined May 23, 2017 Posts 2,811 Reaction score 4,099 Dec 30, 2017 #4 Hivi mwaka huu unaisha lini.... Maana Duhhhh......