jay311
JF-Expert Member
- Oct 21, 2012
- 2,932
- 2,711
Wasalaam, Binafsi nilikuwa nimetazamia kujifunza lugha nyingine ya kimataifa, ambayo ni kihispaniola (Spanish,Español). Baada ya kujifunza mwenyewe takriban kwa mwezi mmoja hivi (source: You tube tutorials, Google play apps and books/Pdfs for both written and spoken).
Nikaona ni vyema kutafuta mtu ambae either naye anapendelea kujifunza lugha hii au tayari ni speaker (not necessarily native) ili atleast tuwe tunasaidiana katika lugha hii.
Anyone interested karibu kwa ajili ya kujisomea for educational,personal au leisure. Bienvenidos.