Mimi katika safiri safiri yangu katika mikoa mingi ya nchi yetu niliipenda sana Mbeya ikifuatiwa na Iringa kutokana na hali ya hewa na pia bei za Vyakula ambazo wakati huo zilikuwa poa sana ukilinganisha na Dar. Njombe hata mimi nilikupenda sana.

ile barabara ni kiboko,first time naelekea kule nililia mpaka tunafika lushoto mjini, ilibaki kidogo nisirudi kwa ajili ya ile barabara, ningekuwa mwanakijiji na mzoefu ningetembea kwa miguu mpaka mombo kama wenyeji wanavyofanya,but i fall in love na ile place kwa kweli