Napenda hii maneno

kingredha kigumu mkuu, maana yake nini mkuu hayo maneno
 
kingredha kigumu mkuu, maana yake nini mkuu hayo maneno
mfano 'i dont give a ***' means i dont care....
picha ya kwanza mcheki ballotelli na reaction ya wachezaji wa man utd hajali hata chembe
picha ya pili moto mkubwa huyo babu anapita as if kuna party
picha ingine watu wako mazikoni wanapiga delfie kama wako kwenye party

THEY ALL DONT GIVE A ***........
 
aisee nashukuru sana mkuu, ningeyajulia wapi haya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…