sulphadoxine
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 2,261
- 651
gamba
socks
Mishahara ya watendaji wake
MAana yake ccm walipe toka 1977 na kwa sababu ni warithi wa TANU na ASP basi watalipa toka 1961Katibu wa halmashauri kuu ya taifa itikadi na uenezi wa CCM Nape ameitaka serikali iwachukulie hatua wanao kwepa kulipa kodi ikiwamo CCM wenyewe.
Alitoa kauli hiyo baada TRA kueleza kwamba chama cha CHADEMA hakijalipa kodi ya mishahara ya watendaji wake, tangu mwaka 1992.
halo dearmnamchukia nape kwasababu anawaambia mkalipe kodi.
inakuwaje muuza mitumba analipa kodi huku katibu wa chama halipi na haoni ubaya kwamba halipi
mnamchukia nape kwasababu anawaambia mkalipe kodi.
inakuwaje muuza mitumba analipa kodi huku katibu wa chama halipi na haoni ubaya kwamba halipi