Shidende Member Joined Sep 4, 2010 Posts 26 Reaction score 0 Jun 15, 2011 #21 Ndugu yangu naomba kwanza umtake radhi mbunge wetu mh J.John Mnyika kwa kumlinganisha na Nape kwani ni sawa na kuifananisha BUS na BAJAJI
Ndugu yangu naomba kwanza umtake radhi mbunge wetu mh J.John Mnyika kwa kumlinganisha na Nape kwani ni sawa na kuifananisha BUS na BAJAJI
M Mafie PM JF-Expert Member Joined Mar 19, 2011 Posts 1,317 Reaction score 207 Jun 15, 2011 #22 kichapo2015 said: nape obama,mnjuka mugabe Click to expand... Rudiiiia tena kwa makini maneno yako! Macho yangu yanapofuka kwa ulichosema hapa
kichapo2015 said: nape obama,mnjuka mugabe Click to expand... Rudiiiia tena kwa makini maneno yako! Macho yangu yanapofuka kwa ulichosema hapa
LOOOK JF-Expert Member Joined May 17, 2011 Posts 3,466 Reaction score 822 Jun 15, 2011 #23 mama yangu nakufa sasa hivi yani naona kama umetia kinyesi kwenye maziwa khaaaa!!! Nape vs mnyika chonde chonde mtoa mada tafadhari mtafute myika kwa udi na uvumba UMUOMBE RADHI kwa kujaribu kumfananisha na dekio la chumba cha majeruhi
mama yangu nakufa sasa hivi yani naona kama umetia kinyesi kwenye maziwa khaaaa!!! Nape vs mnyika chonde chonde mtoa mada tafadhari mtafute myika kwa udi na uvumba UMUOMBE RADHI kwa kujaribu kumfananisha na dekio la chumba cha majeruhi