Nape: Siondoki CCM kwani nina hisa nyingi sana; siogopi wakubwa kama kuchukia na wachukie nimejitoa maisha yangu

Akiangalia mpira na wapiga kura wake.
IMG_20180716_133311.jpg
 
Huyu muheshimiwa kwanini asiombe audiance na mwenyekiti wake wakafanye mazungumzo kistaarabu pengine wanaweza wakaelewana, haya mambo ya kuja public na kutoa maneno ya dharau yatamgharimu.
 
Huyu muheshimiwa kwanini asiombe audiance na mwenyekiti wake wakafanye mazungumzo kistaarabu pengine wanaweza wakaelewana, haya mambo ya kuja public na kutoa maneno ya dharau yatamgharimu.
Tofautisha siasa na kupeleka posa,siasa hufanywa hadharani.
 
CCM na wapambe wake wote ndio wanao chelewesha maendeleo nchi hii, ni muda wenu kutamba mtambe sana but wengine tupo tunasubiri muda uongee tukiisubiri Tanzania mpya ya watu wenye uwezo wa kufikiri walio staraabika, wenye kupenda maendeleo ya wenzao na kuiweka Tanzania mbele..
 
Tatizo anawahadaa wananchi wakati kura ya kupitisha huo upuuzi Nape alipiga pia
Tatizo wadanganyika wengi hawajamjua ADUI namba moja wa Nchi hii ni CCCM huyu ndie anafanya MTU anedhani kuwa ni msomi akiwa humo uwezo wake unazidiwa na Std 7 so gamba likiondoka Nchi hii itasogea sana
 
Baada ya kauli hii watamtimua sasa hivi na watalitangaza jimbo la mtama liko wazi
Katibu mkuu bashiru anapelekeshwa sana na jiwe
 
Back
Top Bottom