Nape: Sina kinyongo na uamuzi wa Rais Magufuli; Akasirishwa na aliyemtishia Bastola

Nape punguza hasira ndugu yangu bado unahitajika nchini
Si kweli vipi kuhusu hayo magari ya kifahari aliyopewa na wauza madawa ya kulevya. Vipi alipovamia kituo huru cha habari kulazimisha story itoke? The story which did not have any balance? Kaa chini ufikirie kwa makini haya mambo ya Bashite na Baba Jeska.
 
Bashite na Baba Jesca unawajua wewe!
 
Propaganda hizo hakuna kitu kama hicho.

N hatuwezi kuingia na silaha kama NNE hivi za kivita kwenda Kuchukua Flash.!!!
 
Ulicho reply hakifanani na nlichoandika
 
Picha hii hapa ya Mr. Bastola kutoka kwenye account ya Mange Instagram
 

Attachments

  • basto.jpeg
    74.1 KB · Views: 70
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…