Nape: Sababu za kuondolewa kwangu kwenye uwaziri bado ni siri, na haziwezi kusemwa

Nucky Thompson

JF-Expert Member
Sep 20, 2016
1,817
4,058
Ameyasema hayo alipokuwa akihohojiwa na Azam TV na kusema alikuwa anajua kabla ya kuondolewa, na sababu za kuondolewa kwake haziwezi kusemwa zote na yeye wala waliomuondoa

Ameyasema hayo alipokuwa akihohojiwa na Azam TV na kusema alikuwa anajua kabla ya kuondolewa, na sababu za kuondolewa kwake haziwezi kusemwa zote na yeye wala waliomuondoa

Tumemchoka tuna mambo mengi muhimu ya kufanya,mwache amalize vyombo vyote vya habari utadhani ndivyo vilivyomteua,badala ya kuzurura aende jimboni kwake kuwasaidia wanajimbo wake kuwaletea maendeleo ,maendeleo hayaji kwa kuwa tu waziri hata ukiwa mbunge tu inatosha.
 
Ameyasema hayo alipokuwa akihohojiwa na Azam TV na kusema alikuwa anajua kabla ya kuondolewa, na sababu za kuondolewa kwake haziwezi kusemwa zote na yeye wala waliomuondoa

Mjinga tu. mojawapo ya vitu alivyokoroga ni kutaka kuingiza z'bar mashirika ya michezo yanayoingiza uanachama nchi ambazo zina utaifa 'sovereign states'. kwa ushabiki tu wa kijingajinga angeingiza z'bar fifa olympic etc ambapo kwenye michezo ndio nchi inajitangaza umoja wake kama taifa.
 
Nape ana shida kichwani. Mbona kila siku mdomo wake unatamka UWAZIRI? Busara iliyobaki kidogo imuongoze kukaa KIMYA. Maisha lazima yaendelee.Tumuombee kwa Mungu atulie.
 
Ameyasema hayo alipokuwa akihohojiwa na Azam TV na kusema alikuwa anajua kabla ya kuondolewa, na sababu za kuondolewa kwake haziwezi kusemwa zote na yeye wala waliomuondoa

Nape alipokuwa mamba alikuwa anatukana kenge sasa naye kawa kenge hivo kashiba matusi yake mwenyewe Na kaona kumbe yanauma hivo anatamani kurudi mwenye umamba
 
Dunia nzima inajua kwa nini nape kavuliwa uwaziri sasa iyo siri ni siri gani anayosema yeye atuache bana
 
Back
Top Bottom