GE2025 Nape Nnauye: Wanaompinga Samia waje na takwimu

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

mwanamwana

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2011
Posts
1,410
Reaction score
4,988
Nape Nnauye, amesema wanaompinga Mgombea Urais wa Tanzania kwa tiketi ya CCM, Dkt. Samia Suluhu Hassan, wanapaswa kuja na takwimu na si maneno matupu.

Nape amesema tangu alipoingia madarakani mwaka 2021, Dkt. Samia ameweka rekodi ya kipekee ya uadilifu katika kusimamia rasilimali za taifa na kuzitumia kwa manufaa ya wananchi wote.

Akihutubia wananchi wa Moshi Mjini kwenye mkutano mkubwa wa kampeni za Dkt. Samia, Nape alieleza kuwa kiongozi huyo amedhihirisha uwezo wa kipekee wa kusimamia makusanyo ya fedha za serikali na kuhakikisha zinaelekezwa moja kwa moja kwenye miradi ya maendeleo.

Hatua hiyo imeleta mwamko mpya wa uwajibikaji na imani kwa wananchi kuwa rasilimali zao zinatumika ipasavyo.

Oya achana na matapeli. Kwanxa Robot lake liko wapi?
 
View attachment 3481879
Kwani zile takwimu za hapa mbona zilikuwa zinaongea,hivi sasa ilibidi zipigwe nyundo ili zisiendelee kusema kwa ushirikiano na nbs.
 
Back
Top Bottom