Nape Nnauye: Viepukeni vyama vyenye mlengo wa matendo ya vurugu na utekaji wa wananchi

KUHONGA?. Hivi unafahamu neno kuhonga kisheria au unataka tuliongee kwa kutumia lugha ya kwenye vijiwe vya kahawa.Chama kinapowalipa wasanii kutumbuiza kwenye mikutano yake ya kisiasa, huwezi kusema kimewahonga kwa maana nyingine haina tofauti na CHADEMA kupitisha bakuli kwenye mikutano yao kwa ajiri ya kuwataka watu walipie mafuta ya magari ya viongozi wa CHADEMA.Kuhonga ni aina ya rushwa ambayo ni kosa la jinai linalokuwa punishable by Law.

Pia ni namna nyingine ya kurejesha fedha kiasi kwa wananchi. Siku hizi nikipata habari ya mkutano wowote wa CCM kufanyika mjini kwetu, nawapa taarifa vijana wa bodaboda wakachukue chao au wakajaziwe mafuta.

By the way unatumia msuli sana kukitetea chama chako.
 
You hit the nail in the head.

Kama kungekuwa siyo kutamu, Mh. Godbless Lema asingeenda mpaka kwenye mahakama ya rufaa kutaka kupewa uongozi. Hata Dr. Slaa asingekuwa anahangaika kila kukicha kwenye barabara na kwenye majukwaani ya kisiasa ukilinganisha na UMRI WAKE. Legally, HE'S A PENSIONER!.

Mna bahati sana washukuruni mods kwa kuninyima rights ya ku upload video yenu wakati mnafanya mafunzo ya igaidi igunga wakiongozwa na nape na mwigulu lameck madelu.
Kesho nawaamkia.
Watanzania wanajua ccm ni magaidi, majambazi na majangili. ccm wamekuwa hatari kwa binadamu, tena haitoshi hata tembo wakowaona wanawakimbia!
U r red carded already by the majority!

CCM weka mbali na tembo!
 
Maskini CCM mmekufa ila hamjui kama mmekufa.idadi ya watu ilikuwa ndogo mno.kama ingekuwa CHADEMA hata mkutano unaoongozwa na diwani mmoja tu,una watu mara mbili ya waliokuwepo katika mapokezi ya kafumu.
Umetimiza ulichotaka kusema kalale basi.
 
Unajikanganya kwa maneno yako. Ulichokikanusha ndicho unakisema tena. Kwa upande wangu nahisi mawazo
ya ILUNGA ILUNGA vile ktk michango yako.
Mawazo ya ki-BAVICHA BAVICHA siyo lazima uwe mwanaCHADEMA kuwa nayo. Mawazo ya Ki-BAVICHA ni mawazo yalijaa fikra ambazo hazina mantiki yoyote kwa watu wenye fikra pevu.
 
Hivyo vitu aliahidi kwa siri?
Nani alikuambia mbunge anafanya kazi peke yake?
Anatekeleza hivyo kwa ilani ya nani?Kwa nini asifanye hayo kama mwanachama wa chama cha mapinduzi?
Unamaanisha kwamba alikuwa anasubiri arudishiwe ubunge ndiye atekeleze ahadi zake?
Kumbuka kuwa ahadi za mbunge ni ahadi za chama, zisipotekelezwa serikali ya chama husika itaulizwa na wananchi.
Uelewa wako ni mkubwa sana kama wa huyu mfanyakazi wa nyumbani:
198825_533352470061815_2085736868_n.jpg
Bora mfanyakazi wa homu atapika vyakula familia ile,wewe uko milembe day kama hujamaliza day jitahidi umalizie itakusaidia vinginevyo utatupa mguo punde tu mwanzako lisu anazingatia dozi yake sasa anaafadhali kidogo umebaki wewe.
 
Mna bahati sana washukuruni mods kwa kuninyima rights ya ku upload video yenu wakati mnafanya mafunzo ya igaidi igunga wakiongozwa na nape na mwigulu lameck madelu.
Kesho nawaamkia.
Watanzania wanajua ccm ni magaidi, majambazi na majangili. ccm wamekuwa hatari kwa binadamu, tena haitoshi hata tembo wakowaona wanawakimbia!
U r red carded already by the majority!

CCM weka mbali na tembo!
Haya ndiyo mawazo ya ki-BAVICHA BAVICHA. Acha kumtisha nyani hapa.

Kwani ku-UPLOAD video lazima utumie Jamii forum. Unajifanya hujui kama kuna YouTube ambayo hata hutakiwi kujitambulisha kuweka ujinga wowote kwa njia ya video.

Kama hujui wanafanyaje, wasiliana na hugochavez na bukoba boy anaweza kukusaidia kukupa mafunzo ya ku-UPLOAD video.
 
hao watu waliokuwa wanahutubiwa mbna kama wameandaliwa?samahani lakn ndo nimeona hvyo mimi
 
Bora mfanyakazi wa homu atapika vyakula familia ile,wewe uko milembe day kama hujamaliza day jitahidi umalizie itakusaidia vinginevyo utatupa mguo punde tu mwanzako lisu anazingatia dozi yake sasa anaafadhali kidogo umebaki wewe.
Chukua zawadi yako.
485407_518920264811660_708768672_n.jpg
 
Haya ni mawazo yako kama yalivyo mawazo yangu. Kwa muktadha wako, ni kweli CCM haibebeki kwa sababu inao uwezo wa kutetembea bila kupata msaada wowote. Hilo la kubebeka waachie CHADEMA walioweka watu mpaka kwenye Mitandao 24/7 kama JF kukipigia chapuo ili kibebeke kwa wananchi.
Mmh haya sasa mapya kwangu.............
 
Mna bahati sana washukuruni mods kwa kuninyima rights ya ku upload video yenu wakati mnafanya mafunzo ya igaidi igunga wakiongozwa na nape na mwigulu lameck madelu.
Kesho nawaamkia.
Watanzania wanajua ccm ni magaidi, majambazi na majangili. ccm wamekuwa hatari kwa binadamu, tena haitoshi hata tembo wakowaona wanawakimbia!
U r red carded already by the majority!

CCM weka mbali na tembo!
Tembo wote, au isipokuwa huyu hapa?
485407_518920264811660_708768672_n.jpg
 
Hivi huyu nape tabia ya kulopoka lopoka kijinga karithi kwa nani? mbona dingi ake profesa mark mwandosya hana iyo tabia ya ulopokaji?

Nape si binamu yake Mwigulu kutoka Iramba, ndio maana wote wameng'ang'ani na singo ya ugaidi hata baada ya mahakama kutupilia mbali. Huyu jamaa sijui atajifunza ljni kuongea kama mtu mwenye dhamana CCM?
 
Kuitetea CCM unatakiwa uwe na akili kama ya mwendawazimu au uwe umepewa fungu. Si rahisi mtu kuitetea CCM kwa utashi wake.
Of course! Lazima kwa sasa utaonekana kama ni mwendawazimu kwa sababu hakuna cha kutetea.

CCM inaendelea kutekeleza ahadi zake baada ya wananchi kwa mamilioni kuzinunua kwa kuipa kura mpaka october 2015.
 
Nape ni chama gani kimeua wakristo kwenye shambulio la BOMU ARUSHA? Padre Mkenda kapigwa risasi na chama gani na padre Mushi kauawa na chama gani? Mashehe waliopigwa na kumwagiwa tindikali ni Chama gani kimewafanyia?.. Ni CCM, CDM, CUF, NCCR, UDP au TLP?

Mawazo ya ki-BAVICHA ambayo yanafaa kusemwa kwa watoto wa shule za chekechea achilia mbali kwa wanafunzi wa darala la kwanza. Bahati mbaya kwako, hatuna watoto wa chekea kwenye hili jukwaa la siasa kwa hiyo hata jibu huwezi kulipata kwa maswali yako ya chekechea.

Swali limeelekezwa kwa Nape ila kwa kiherehere chako umeamua kulidaka huku ukijua kuwa huna uwezo wa kulijibu. Ama ndiyo njia ya kujihakikishia buku saba ya Lumumba kwa kesho...
 
Haya ni mawazo yako kama yalivyo mawazo yangu. Kwa muktadha wako, ni kweli CCM haibebeki kwa sababu inao uwezo wa kutetembea bila kupata msaada wowote. Hilo la kubebeka waachie CHADEMA walioweka watu mpaka kwenye Mitandao 24/7 kama JF kukipigia chapuo ili kibebeke kwa wananchi.

Sisi hatujawekwa na mtu we gamba tunapenda mabadiliko tu sababu ccm kwa miaka 50 hakuna lolote.
 
Binafsi sijaelewa ilikuwa ni mapokezi ya mbunge kwa wanachama au ni wananchi wa Igunga?. Maana naona sare tu za wanachama, Au siku hizi wananchi wote wana sare za sisiem?
 
Nanukuu “Baada ya mahakama kumrejeshea Ubunge mbunge wetu, CCM inaahidi kwamba ahadi zote alizotoa mbunge wenu zitatekelezwa kabla ya mwaka 2015. Na kwa kuwa Chadema walipunguza kasi kwa kusimamisha mbunge wenu baada ya kumpeleka mahakamani, CCM itaisimamia serikali ili kuhakikisha inaongeza kasi ya utekelezaji wa ahadi hizo kufidia pale utekelezaji ulipokuwa umepungua kasi”, alisema Nape.

Ok, kumbe jimbo likiwa na mbunge wa upinzani, wananchi wanakosa huduma muhimu ili wajutie uamuzi wao?
Sikujua kama nchi hii inaendeshwa kwa visasi.

hamnazo hata chembe...wapi ilipoandikwa kuwa penye wabunge wa upinzani maendeleo yanakwamishwa? Ni igunga imewahi kuwa na mbunge wa upinzani? Rudi hospitali pale mirembe umalize dozi
 
Mawazo ya ki-BAVICHA BAVICHA siyo lazima uwe mwanaCHADEMA kuwa nayo. Mawazo ya Ki-BAVICHA ni mawazo yalijaa fikra ambazo hazina mantiki yoyote kwa watu wenye fikra pevu.

Kwa hiyo hayo ya ILUNGA ILUNGA yanatija gani kwa mtanzania?
 
Binafsi sijaelewa ilikuwa ni mapokezi ya mbunge kwa wanachama au ni wananchi wa Igunga?. Maana naona sare tu za wanachama, Au siku hizi wananchi wote wana sare za sisiem?
Haya ni mawazo ya ki-BAVICHA BAVICHA. Kwani wanaovaa magwanda wote ni wanachama wa CHADEMA?.

Jipime kwanza katika uelewa kabla hujaweka uharo kwenye thread yangu.
 
Back
Top Bottom