Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 52,610
- 164,620
Nani ana ile katuni ya kipanya?
'The guilty are always affraid' hapaswi kuogopa kama hana kosa !
Kuna nyingine mpya jamaa kabebwa afu na yeye kabeba AK 47
Yawezekana nape alijua yupo ktk firing line, akaandaa mazingira ya kuwa hero kwa ukawa.
Huo ndio ujumbe katika account ya twitter ya Waziri Nape Moses Nnauye.
Ni mstari mmoja tu unaosomeka:
"No longer at ease!"
Huyu mh.ni bora afanye maamuzi magumu sasa kabla wengine hawafanya maamuzi magumu hapo baadae.
Nape amechelewa kufanya maamuzi.'The guilty are always affraid' hapaswi kuogopa kama hana kosa !
inayoKuna nyingine mpya jamaa kabebwa afu na yeye kabeba AK 47