Nape Nnauye na hadithi za Alinacha

Nape Nnauye na hadithi za Alinacha

MwanaHaki

R I P
Joined
Oct 17, 2006
Posts
2,401
Reaction score
710
Jana, kwenye Taarifa ya Habari ya ITV, Nape Nnauye alionekana akizungumzia kuhusu suala la maadili.

Alisema kwamba CCM haitasita kuwawajibisha viongozi wanaokiuka maadili ya uongozi. Kimsingi alisema watakaobainika kwenda kinyume na maadili watawajibishwa ipasavyo. Nadhani alikuwa anagusia suala la IPTL-ESCROW!

Kama Nape alitaka kuwafurahisha "wajinga waliwao" kule Lindi, basi aliwapata wengi, lakini sisi tunaoujua ukweli, tunajua kwamba hizo ni "porojo" na "hadithi za Alinacha".

CCM ilikataa kata-kata suala la maadili kuwapo kwenye rasimu ya katiba inayopendekezwa. Hoja zote za maadili zilinyofolewa na Sitta wa Viwango na Mwendokasi, tena kwa mwendokasi wa ajabu!

Sasa kama suala la maadili halipo kwenye katiba, litakuwaje kwenye maagizo, ilani na masharti ya uongozi ya CCM?

Jaribu tena Nape. Hapa kwangu hupiti.
 
Nepi uwa namfananisha na msemaji wa Saddam wakati wa vita vya ghuba.Kifupi anazungumza ujinga uku akifikiria tumbo lake bila kujua matamshi yake yanaweza sababisha hasira za wazalendo wa kweli wakalisambaratisha tumbo lake analolitumikia!!!
 
Nape muulumien tu jaman hajui alitendalo tumuulize km alishindwa kwa lowassa, chenge, rostam itakuwa hawa? mwenzie willison mkama alipima kina akajiondoa nae yeye bado anasaka tonge
 
Ukikosa cha kuzungumza na huku ukweli unajua Mara nyingi kinachofuata ni kudanganya na mwishowe kujichanganya. Pole nape sababu ukweli unaujua na inakuuma ila tumbo ndio tatizo.
 
japo hatutalipa visas lkn nape atakua mfungwa wa kudumu pale keko nch ikikombolewa
 
Nape hamnazo kabisa , anapenda kuropoka tuu .huyu jamaa ni msaka tonge hana lolote!
 
View attachment 205301 Vua Gamba.JPG
 
Usithubutu kuwa karibu yake wakati akibwabwaja hata kama ulikua umekoga lazima ukaoge tena. Cjue anafiri ni sifa kupika mikelele alafu point less.Lol
 
Halafu hako katumwa kamafisadi naona hata kwenye mgao wa escrow hakapo.
 
Back
Top Bottom