Barakaeli174
Senior Member
- Aug 2, 2015
- 171
- 142
Wana Jf,
Nape Nauye anaandaliwa mtego ili afukuzwe na uanachama kwa kiherehere chake kama wanavyodai, lazima afahamu kwanini Sophia Simba alifukuzwa ni kwa maneno yake ya kupinga...
Sasa Mwenyekiti wa chama kasema ana sauti kubwa na akisema anasema yeye ndio Mwenyekiti. Namuomba kaka yangu Nape awe makini sana, asiongee lolote kuanzia muda ambao alipokea baruwa ya kuachishwa uwaziri. Namsihi awe makini achunge sana mdomo wake, awe na akiba ya maneno.