Mohamedi Mtoi
R I P
- Dec 11, 2010
- 3,321
- 6,331
Wenyewe kina nani? Ninachohubiri kisichotekelezeka ni kipi? Hivi ni kweli leo mtu anaweza kusimama hadharani bila aibu akasema hakitekelezeki???? Nilipoanza mlisema, matokeo yalipoanza kupatikana mnasema halitekelezeki..... Kwakweli wengi wenu kwakuwa ni vijana nashangaa nchi hii itakuaje baada ya mda mfupi kama hili ndo Taifa lenye hiki kizazi
Unauambia nini umma wa CCM sasa ? upo hapo kwa ajili ya "mission" yako peke yako , au ndo unatuhabarisha kuwa CCM sio chama tena<br />
<br />
Usisahau .....THE STRONGEST MAN INTHE WORLD IS THE ONE WHO STANDS ALONE"
. Kwakweli wengi wenu kwakuwa ni vijana nashangaa nchi hii itakuaje baada ya mda mfupi kama hili ndo Taifa lenye hiki kizazi
Kaka kuna yale maahadi kibao yaliyoahidiwa na JK na yameorodheshwa humu jamvini.Wenyewe kina nani? Ninachohubiri kisichotekelezeka ni kipi? Hivi ni kweli leo mtu anaweza kusimama hadharani bila aibu akasema hakitekelezeki???? Nilipoanza mlisema, matokeo yalipoanza kupatikana mnasema halitekelezeki..... Kwakweli wengi wenu kwakuwa ni vijana nashangaa nchi hii itakuaje baada ya mda mfupi kama hili ndo Taifa lenye hiki kizazi