Zipo tetesi kuwa Nape kawabwaga Chadema mahakamani katika kesi waliyofungua wakimdai Tshs 3bill kwa madai kuwa kawachafulia jina kwa kusema wanatakatusha pesa na kupewa pesa kutoka nje!! Kesi ilikuwa inasikilizwa na majaji watatu.
Nape katoa ushahidi wa kufa mtu, katika hukumu yake Jaji kawatahadharisha CDM kuwa ushahidi huo ukipelekwa kwa msajili wa vyama chama kinafutwa kwa kosa la kuingiza pesa chafu nchini.
Source;- mahakama kuu ya Tanzania