Nape Nnauye adaiwa kukamatwa, akanusha na kusema YUPO na Mkutano upo palepale

Status
Not open for further replies.

Return Of Undertaker

JF-Expert Member
Jun 12, 2012
4,572
26,883
NAPE AMEKAMATWA MUDA HUU.

Aliyekuwa wazirii wa Habari na Sanaa. Nape Amekamatwa Na watu wasiojulikana na kuingizwa ndani ya Gari Aina ya Ford Lenye namba T678 CTK.

=======



IMG_4444.jpg


KANUSHO:

Habari hii si ya kweli, Nape Nnauye hakukamatwa. Aliweza kuongea na Wanahabari. Soma=>https://www.jamiiforums.com/threads...-akasirishwa-na-aliyemtishia-bastola.1222632/
 
Tupo kwenye serikali ya kidikteta haswaa..

Nilikuwa nina wasiwasi sana kama atafanya hii press conference bila bugudha.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom