Winston Mtanzania
JF-Expert Member
- Mar 27, 2014
- 340
- 117
Nitakuomba ujibu maana upo humu.
Hivi unaposema umezunguka wananchi wakaomba Maji, Umeme, Barabara, shule na Zahanati ulimaanisha haya?
1. Wanaomba kwa maana miaka 50 hamjawapatia hayo mahitaji muhimu?
2. Hawajui kwamba mambo hayo huletwa na serikali Imara.? Na kwamba serikali imara huundwa na katiba imara, kwa maneno mengine katiba ndio chimbuko la hayo maji, umeme, barabara na mengine.
3. Kama kweli hawaitaki katiba mpya, mchakato huu na mambo yake yote mlianzisha ya nini?