maonomakuu
JF-Expert Member
- Jul 24, 2015
- 2,516
- 1,198
Mheshimiwa rais Nape ni aina ya watu ambao ni wafia chama yaani kuwa kiongozi wa serikali hana chembe ya sifa hata kidogo.
Raha ya Nape ni kuhakikisha chama kinatetewa hata penye masihara ataongea tu maana siyo kauli ya mwisho, serikalini atakachotamka kinatafsiriwa kwa mlengo wa kauli za serikali.
Nampenda sana kwenye chama maana anaudhi sana wapinzani kwa kauli za kibabe lakini kwa serikali hana chembe ya sifa.CCM hawakukosea kumchagua kama mzee wa propaganda wa chama.