mmanga mswahili
Member
- May 18, 2012
- 30
- 2
Siku hizi na wewe hupo kwenye payroll ya nape ya buku mbili mbili? Nape labda shujaa wa makaratasi.
ndio mana sisi vijana tuambiwa tuna jazba unasema makaratsi.
kuwa adabu huyu ni kiongozi na unatakiwa umtendee haki kutofautiana itikadi sio kumtovokea mwenzako refer political tolerence in orriented na mutapoteza wanachama kama hii ndio behaviour yenu katika chama chenu na watu watakudharaulini kuweni makini na huyo anaekufadhilini kuitumia jamii furum kwa kubeza juhudi za serekali na viongozi wa chama mimi si mwanasiasa ila napenda maendeleo.
sisi tunazungumza vitu vinavyoonekana wewe unatakiwa unipe udhaifu wa nape na sio kutovitu visivyo na ushahidi wowote acha kukurupuka badonasema nape ni shujaa mpaka uniweshe kwanini si shujaaa.Mashujaa wapo Lindi na mtwara bana...huwezi kula na majambazi ukapokea mshahara wao ukawa kiongozi ukatetea na kulinda sera zao then ukawa bado shujaa...Kuna walakini hapo...
sisi tunazungumza vitu vinavyoonekana wewe unatakiwa unipe udhaifu wa nape na sio kutovitu visivyo na ushahidi wowote acha kukurupuka badonasema nape ni shujaa mpaka uniweshe kwanini si shujaaa.
ufadhili wa chama cha fujo t,bara usikufanye uitumie vibaya JF.
power unaonaje ukampa mama ako ili mh:nape apate mtumzima wa kumpa busara zaidi na mawazo ya kukiendeleza chama chake? Na nchi yetu kwa ujumla.siyo bure, naona unatafuta uchumba kwa nape wewe