Mudawote
JF-Expert Member
- Jul 10, 2013
- 10,490
- 13,551
Nape ni miongoni mwa vijana wachache wenye misimamo thabiti
Nakumbuka baada ya agenda ya kujivua magamba ndani ya CCM, alishupalia waovu wote waondoke ndani ya CCM, na mojawapo alikuwa fisadi papa (kwa mujibu wa CHADEMA) mzee Lowassa.
Nape aliendelea kushikilia msimamo mpaka leo na kesho. Big up Nape!