YapUtupe updates.... Bila shaka amepitia kumsabahi Lissu ndo akaenda hapo KTN.
Unamaanisha "mwenyekiti" kwa sasa hana Busara kabisa?Ukiwa Kiongoz Afrika ukitoka madarakan au kupokonywa cheo unakua na Busara sana
Hana busara huoni kamakatalia dreva Nairobi eti ana matatizoya saikolojia hahaaaUnamaanisha "mwenyekiti" kwa sasa hana Busara kabisa?
Mada n demokrazie AfriqueMhe. Nape Nnauye yupo live kupitia ktn news nchin kenya, kwenye kipindi cha Mdahalo, Mada ni siasa za Afrika
Kwa hiyo wataka aogope kuongea anachotaka kama unavyoogopa weye?Ewe kiumbe dhaifu Nape Nahuye chunga ulimi wako kama bado unajipenda
We nae Usijitie Zwazwa apa, Maana ya madaraka ni mtu ambae ana back up ya vyombo vya Ulinzi na Usalama ndio utaelewa M/kiti aliyelengwa. Bichwa kubwa huelewi!!Hana busara huoni kamakatalia dreva Nairobi eti ana matatizoya saikolojia hahaaa