Nape na wenzako, kama hamtaki kuzama jitoseni baharini mapema!!

Lusungo

JF-Expert Member
Jan 4, 2014
28,158
41,340
Wasalaam....

Kwa muda mrefu kuna baadhi ya mawaziri, naibu mawaziri, makatibu wakuu na viongozi wengine wamesikika wakisema huku na huko kwa wandani wao kuwa hawaridhishwi na hali ya mambo inavyokwenda!! Wengi wanaumia kuliko.... Wengi walikua na matarajio tofauti na haya wayaonayo...

Ni wazi mwenye mamlaka ameonesha dhahiri ana shingo ngumu... Hali ya mambo nchini imetaharuki... Ni wazi tunaelekea kubaya kuliko historia ituhukumu ni budi tuitendee haki ituhifadhi...

Nawashauri wale wote wasiopendezwa na haya yatokeayo... Ili historia isije wahukumu ni heri wajitose baharini.....

Screenshot_2017-02-13-09-31-58.png
 
Tatizo wana ccm wanafiki
Anatakiwa aibuke mmoja amwambie anapoteza nchi
 
Namuonea huruma Nape alivyozunguka nchi nzima kuifufua ccm,halafu leo mtu anakuja kuiharibu tena.
Nape yupo wizara ya bata lakini anajilazimisha kujiweka kwenye matatizo ya kijinga bila sababu - atakuwa anahusika na sembe huwa mbwiga sio bure, alishawahi kuzira na kutimkia CCJ nini kilimrudisha
 
Back
Top Bottom