Picha hazikuruhusiwa kuanzia siku ya send off na harusi watu walikatazwa kupiga picha,Ndoa ilifungwa kwa siri sana huku mke mkubwa aliyeachwa na Nape kwa jina la Tumai ama mama Sechela mzazi mwenzie na Nape kutelekezwa.
Huyu mke wa pili anaitwa bi Roby Mkami mfanyakazi wa ABC bank na amezaa nae mtoto mmja ana umri wa mienzi 3 hivi,mke wa kwanza katelekezwa na mtoto wa miaka 4 binti sechela
Huyu mke wa pili anaitwa bi Roby Mkami mfanyakazi wa ABC bank na amezaa nae mtoto mmja ana umri wa mienzi 3 hivi,mke wa kwanza katelekezwa na mtoto wa miaka 4 binti sechela
Nape kwani ana nywele au ni kipara...mi nadhani mnataka kuwachanganya watu...huyo anayeoa anaweza asiwe Nape...Nape ni huyo alokaa chini....na nilisikia Nape ameoa long time unless kama ali divorce au anapasha kiporo (which is less likely kwani si mkristu)