alimuoa dada mmoja anaitwa tumaini hemedi, alikuwa anaishi changanyikeni UDSM! tumaini alikuwa na mtoto wa nje kabla hajaolewa na nape, nape na tumaini waliunganishwa na dada mmoja, mtoto wa late prof masuha anaitwa lilian, alikuwa anasoma chuo cha diplomasia na nape kurasini.
so one day tumaini alikwenda kumvisit lilian, ndio nape kumuona tumaini, akampenda na kuja kumuoa. kipindi hicho hana pesa, alikuwa anakaa changanyikeni kwa in-laws! i heard walipart ila sikujua kiundani! but tumaini was sooooo beautiful!, beautiful in-deed!