alimuoa dada mmoja anaitwa tumaini hemedi, alikuwa anaishi changanyikeni UDSM! tumaini alikuwa na mtoto wa nje kabla hajaolewa na nape, nape na tumaini waliunganishwa na dada mmoja, mtoto wa late prof masuha anaitwa lilian, alikuwa anasoma chuo cha diplomasia na nape kurasini.
so one day tumaini alikwenda kumvisit lilian, ndio nape kumuona tumaini, akampenda na kuja kumuoa. kipindi hicho hana pesa, alikuwa anakaa changanyikeni kwa in-laws! i heard walipart ila sikujua kiundani! but tumaini was sooooo beautiful!, beautiful in-deed!
Tumaini alizalishwa mtoto mmja na ametelekezwa wakati Tumain ndiye aliyekuwa akimweka Nape mjini kipindi chote kile hakuwa na kitu aliishi nae Changanyikeni kwenye nyumba ya Wazazi wa Tumaini sasa huyu bi mdogo kwao ni wakshua Nape aliogopa baada ya kutishwa na ndugu zake Roby na wazazi wake aaamua kufunga ndoa ya siri tena ilitakiwa ifungiwe Israel kwa uficho zaidi,Mama wa bibi harusi huyu ni mkurugenzi wa Bank maarufu hapa tz na baba yake ni tajiri sana.
Anthony Mtaka,Dc wa Mvomero hajaoa mpaka leo.
Hii kwa kweli si nzuri sana kwa mtu anaeongoza kamati ya ulinzi na usalama ya wilaya.
Ndo wameshikanaje sasa?
Hapo ndo ujue nani mlindaji na nani mlindwaji
Kumbe alikuwaga Bachelor huyu Nape...........
Hahahaha. Bwana Harusi mwenyewe hana tabasamu as you would expect!
Huyo ni binti wa Kikurya,babake ni marehemu mzee Mkami wa pale Tarime juu bomani.
Mambo yaligubikwa na usiri mkubwa sana,I think Nape alikwishaoa kabla
siri anayo moyoni
maybe haikuwa chaguo lake
Maybe he wasnt grabbed by the balls:biggrin1: so his heart's not in it.
OR maybe aliona 'time' inakwisha akaamua kulamba karata iliyobaki.....
Alafu huo mkono mmoja ni gloves au???????
OUT OF TOPIC:
Ni wakati muafaka sasa kwa huyo nae sijui Dr. Silaa kukipasha kiporo moto aache kuzini zini hovyo na mke wa mtu..mmemkazania huyu Nape yeye keshamaliza yake na dr nae afanye haraka pamoja na huyo mwenyekiti wenu wa CDM, waache kufinua finua pichu za wadada wa chama cha domokrasia na mauvundo...maana nyani huwa haoni..........haahaaha