Huyu muenez kila nikimsikiliza nakereka..wacha tu nizime tv nile malimao
NAPE anamchana LOWASSA wazi wazi
ssina muda wa kuangalia .nalala mie.
ssina muda wa kuangalia.nalala mie.
kakwepa swali la kuvua gamba..
..ila huyu dada yuko fiti kwa maswali
Mi namwamgalia ryoba ikifika samu ya nape nazima tv.
Huyu jamaa amepewa nanani hiki cheo?? si kwamba amepata kazi kwa mgongo wa Mzee wake???
Huyu dada anaeendesha kipindi sijui ni nani, kambana Nape vilivyo....
Mi namwamgalia ryoba ikifika samu ya nape nazima tv.