NAPE: Kuondoka kwa Mzee Kingunge Chama kimepata ahueni

Unefanya hivi... Wataje mizigo wote lOe ili waiondoka tujuwe ulishasema... ILA KAMA TU AKIWA MZIGO NJE YA CCMNAKUWA SI MZIGO LAKINI AKIWA NJE YA CCM SI MZIGO BASI KAA KIMYA
 
Wanamwita VUVUZELA hawajakosea
 

Attachments

  • th.jpg
    th.jpg
    5.6 KB · Views: 412
Wazee ni hazina , chama chochote kinachopuuza wazee kitapotea kwenye ramani ya dunia .
 
Wangesema nini zaidi ya maneno ya kujifariji kuwa alikuwa mzigo. Hata akiondoka nani bado watasema wamepunguza makapi na mizigo.
 
Ila katika statement yake pamoja na matatizo mengine kawataja mavuvuzela moja kwa moja!
 
Nilidhani atatukana na kusema huyo mzee amezeeka anasubiri kifo kama kawaida yake. Au ameshtuka sasa hivi kuwa ukisema hovyo tuu basi safari imeiva
 
YEHODAYA
Unaweza kunipa Sababu kubwa 3 ambazo zinafanya kwanini Baraza la Mawaziri halivunjwi hadi sasa? Jee ni huyo Lowasa na Sumaye ndo tatizo? Hivi hujiulizi kwanini Wananchi wanasema wamechoka halafu nyie ndo mnasema Lowassa hivi mara Lowassa Vile? Soma Nyakati ndugu, hivi ubovu wa Elimu yetu umesababishwa na Lowasa na Sumaye.

Hospitali kukosa huduma za Mcng tatzo ni Sumaye na Lowasa? Vipi kuhusu Kilimo kwanza ambacho kimedorola?

Jitambue na Uchukue Hatua.
 
Last edited by a moderator:
Kimsingi alichosema Nape na kwa nafasi yake ni sawa.

ningeshangaa sana kama angesema ni pigo kwa chama.
 
Hiyo ni ndoto ya mchana kweupe kamwe hamuezi kuchukua nchi hii mnajidanganya mtawaponza vijana Kupata vilema vya kumbukumbu
 
YEHODAYA

Naona aliyemroga huyu Nape alishakufa tena kwa ajali...huwezi kutoa maneno ya kejeli kama haya kwa wazee waliokuanzishia chama halafu wewe unajifanya ndo mzalendo kupita hao wazee..! laana zinakujia utakaposhangaa!
 
Last edited by a moderator:
Nape hakosai jambo hata magufuli akihama utamsikia. "daah afadhari amechomoka maana tulipata shida kumnadi si uliona wasanii kama mia hivi mara huyu mama ongea na mwanao mara makomando kwenye mziki mara pus up!!!!! " hahaaaaaaaaaaaaaaaaa haaaaaaaa. siasa zingine banaa
 
Haya ni maneno ya kisiasa athali ya huyu mzee kwa ccm ni kubwa, kwani huyu ni mmoja wa waasisi waliobaki hai kushuhudia chama kikiparaganyika.
Kweli kuishi kwingi ni kuona mengi.
 
Back
Top Bottom