Nape kuinyooshea kidoke serikali ya CCM ni nini manake? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nape kuinyooshea kidoke serikali ya CCM ni nini manake?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by matawi, Feb 2, 2012.

 1. m

  matawi JF-Expert Member

  #1
  Feb 2, 2012
  Joined: Mar 29, 2010
  Messages: 2,055
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Kitendo cha katibu mwenezi wa ccm kuisema serikali yake kimekuwa kikinitatiza sana. Mara ya kwanza nilimuona akikagua majengo ya Udom na kuanza kukandia eti yamejengwa chini ya kiwango. juzi kwenye tv tbc nimemwona akizungumzia ugomvi wa madaktari na serikali ambapo alishauri eti wakae meza ya mazungumzo.Ninachojiuliza mtoto wako unapoona nidhamu yake mbovu huwa unaenda kumtangaza barabarani? au unamwadhibu ukiwa kama mzazi . iweje huyu mtu anaikosoa serikali yake tena kupitia vyombo vya habari?. Kwangu mimi naona ni usanii uliovuka mipaka yaani serikali inawatafuna wadanganyika Nape anatumwa kupulizia kuonyesha ina huruma na wananchi
   
 2. Bongolander

  Bongolander JF-Expert Member

  #2
  Feb 2, 2012
  Joined: Jul 10, 2007
  Messages: 4,882
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 135

  Maana yake ni kuwa Nape kwanza ni mtanzania, pili ni mwanaCCM na tatu ni Nape. That is how we are supposed to be, in order for Tanzania to be Tanzania.
   
Loading...