Mkuu Kinyungu,Mkuu naona siku hizi upo kimya sana hatujasikia maoni yako juu ya siasa zetu za kufukuzana
Majibu yako yanadhihirisha ulichakachua ile masters.
tukio gani la kisiasa kubwa kama unavyosema ambalo sijatoa maoni/ ushauri/ msimamo wa Chama? Kwa uchache nikukumbushe tu, LILITOKA SWALA LA POSHO NIKATOA MSIMAMO WA CHAMA, SWALA LA KUFUKUZWA KAFULILA, MAFURIKO DAR NA MIKOANI, MAFUTA NK... Au mpaka nije kutoa hapa Jf? Na leo nimetoa juu ya Hamadi na kumpongeza John Mnyika kwa uteuzi wake kuwa Katibu Mwenezi wa Chadema..
Mkuu Kinyungu,
Hivi ni kweli msimamo wangu juu ya kufukuzwa Kafulila hukuuona? Hapa Narudia....SIAMINI KATIKA SIASA ZA KUFUKUZA HASA WANASIASA VIJANA KWENYE VYAMA VYA SIASA BADALA YAKE VYAMA VYA SIASA VIJENGE UTAMADUNI WA KUVUMILIA NA KUWA WALEZI WA WANASIASA VIAJANA KATIKA NJIA ZIPASAZO BADALA YA ADHABU YA KUWAFUKUZA

Usishukuru kwa kusaidiwa kuchakachua, tunaomba majina ya vyuo ulivyosomea. Binafsi siamini kuwa mtu anayeona ccm iko okey anaweza kusoma Phd!Nashukuru kwakuwa wakati nachakachua ULINISAIDIA KUCHAKACHUA........
Nashukuru kwakuwa wakati nachakachua ULINISAIDIA KUCHAKACHUA........
Unafiki wako ni kitendo chako cha kuamua kuanzisha CCJ ukijipambanua kama mpinga ufisadi pale ccm lakini baada ya kuhakikishiwa ulaji ukaamua kubaki kutetea mfumo unaoidhoofisha nchi. Huo ni unafiki mkubwa sana; kijana kama wewe haitarajiwi kuwa mchumia tumbo, na watu kama nyie ni janga la kitaifa.Unafiki wangu ni upi? au unatukana kwasababu unatumia jina bandia? Kama kwako ufisadi ni deal, huna sababu ya kumtukana anayeona si deal bali ni dhambi hata kwa Mungu
tukio gani la kisiasa kubwa kama unavyosema ambalo sijatoa maoni/ ushauri/ msimamo wa Chama? Kwa uchache nikukumbushe tu, LILITOKA SWALA LA POSHO NIKATOA MSIMAMO WA CHAMA, SWALA LA KUFUKUZWA KAFULILA, MAFURIKO DAR NA MIKOANI, MAFUTA NK... Au mpaka nije kutoa hapa Jf? Na leo nimetoa juu ya Hamadi na kumpongeza John Mnyika kwa uteuzi wake kuwa Katibu Mwenezi wa Chadema..
Kuna lile tukio la wewe kusutwa na Lowassa kwenye NEC iliyopita Mkuu. Hukutoa tamko lolote la chama. Hata kile kitendo cha Wilson Mukama kuingilia kazi yako ya Uenezi mara baada ya kile kikao pia hujatolea tamko kabisa Brother!
Nashukuru kwakuwa wakati nachakachua ULINISAIDIA KUCHAKACHUA........
Nilikusahau Mungi katika ile panel tuliokuwa tukichakachua pamoja! Natanguliza shukurani
Mkuu Kinyungu,
Hivi ni kweli msimamo wangu juu ya kufukuzwa Kafulila hukuuona? Hapa Narudia....SIAMINI KATIKA SIASA ZA KUFUKUZA HASA WANASIASA VIJANA KWENYE VYAMA VYA SIASA BADALA YAKE VYAMA VYA SIASA VIJENGE UTAMADUNI WA KUVUMILIA NA KUWA WALEZI WA WANASIASA VIAJANA KATIKA NJIA ZIPASAZO BADALA YA ADHABU YA KUWAFUKUZA
Tumemshika pabaya Nape Wakuu. Kakimbia hoja hivi hivi! Angalia sasa haonekani jamvini! Nape where are you my Friend? Sign in back!