Nape,Huyu Saidi Nkumba tumwite nani?

Nape,Huyu Saidi Nkumba tumwite nani?

Kipenzi Changu

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
59,827
Reaction score
140,878
Aliyekuwa mbunge wa Sikonge Saidi Nkumba amevunja rekodi.Aliondoka CCM kwenda Chadema aliponyimwa nafasi akarudi CCM.Swali kwa vuvuzela,huyu Saidi tumuite oil chafu,kapi,mroho wa madaraka au mpumbavu?
 
Ndani ya CCM wewe si Oil Chafu, Ukishatoka tayari Ni Kapi. Kwa Matiki hiyo Warioba Amepambana Na Mfumo CCM Kwa Miaka Mingi

Amweshindwa Na Juzi tumeona Mzee Yule Ame-surrender Na Kuungana Nao, Pamoja na Kupigwa Makofi ya Uzeeni. Vile vile Ikitokea Kwa

Bahati Mbaya Dr. Magufuli Kuingia Ikulu Kwa Gori Lao la Mkono, Hatakuwa Na Namna Yoyote Ataendelea Kuwa Nao. Mfano Ni Kuisigina

Rasimu ya Pili ya Warioba Kwa Mgombea Mweza Aliyekuwa Speak wa Bunge Lile Lenye Matusi.
 
Back
Top Bottom