Nape hoi jimboni Mtama

Nape alikosea sana kuleta misifa nchini. Asipate tu. Maana hakuna namna sasa
 

Rushia picha za mikutano ya nape na mpinzani wake tuzione.
 

Ni mikutano gani ambayo amefanya Nape..? Ni kijiji au sehemu gani Nape amefanya mkutano wakahudhuria viongozi tu..?
 
Ni mikutano gani ambayo amefanya Nape..? Ni kijiji au sehemu gani Nape amefanya mkutano wakahudhuria viongozi tu..?

Kwani nape anagombea jimbo gani
 
we subiri october 25
 
Tumeshakuwa kama wapiga lamli tusubiri uchanguzi ufanyike ndo tutabishana kwa hoja tusitegemee huu utabiri wa nyota.
 
Tar 25 oct mtakimbia humu kama ileeee tatu bila...mmesahauu wekeni akiba ya maneno
 
Mtu anakaa dar anataka kwenda kuwatawala mtama! Msikubali mkataeni huyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…