Nape hoi jimboni Mtama

Mmawia

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
122,521
Reaction score
96,268
Kufuatia kampeini zilizofanywa na mgombea urais kupitia cdm/ukawa jimboni mtama wananchi wa jimbo la mtama wameamua kwa wingi wao kujiunga vyama vinavyounda ukawa na kumuacha nape akihutubia viongozi wa ccm tu kila mkutano na wana mtama wameahidi kumchagua mgombea wa ukawa kwa kura za kimbunga.
 
Habari njema sn. Hakuna siku ntafurahi kzaidi ya huyohuni nape akikosa ubunge
 
Ni kati ya majimbo matatu yaliyotangaziwa kiama na Rais mtarajiwa EDL
 
Opinion polling for Tanzania General Presidential Election 2015
Mh. Dr. John Pombe Magufuli (CCM)
16.8% 2449
Mh. Edward Lowassa (CHADEMA)
81.9% 11961
Other 1.4% 199
Total Vote 14609
- See more at: VOTE ONLINE FOR TANZANIA PRESIDENT | #VOTE4TPO | Mayocoo , Special Voting portal
 
Wasimpe kabisa nice kati ya Watu ambao hawana uchungu NA kusini hafai huyu
 

Hiyo ndo poll ya jimboni kwa Nape ai unatema twakimu kama kasuku?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…